News
Karibu kuungana nami katika makala changu chako chako changu leo jumapili ambapo nakuletea Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya ...
SERIKALI mkoani Shinyanga imeadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwa kufanya usafi wa mazingira pamoja na kupanda miti katika Manispaa ya Shinyanga. Maadhimisho hayo yamefanyika ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria, akisisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia sheria na ...
Unguja. Katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wazee wa kisiwani Unguja wanasema matunda ya muungano huo ni makubwa na yenye manufaa kwa wananchi, hivyo wanapaswa kuulinda ...
Leo, Aprili 26, 2025, imetimia miaka 61 tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane kupata dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambayo kuanzia Desemba 1964 ilianza kuitwa Jamhuri ya ...
Zaidi ya watu 100 wamekufa baada ya mafuriko katika kijiji karibu na mwambao wa Ziwa Tanganyika mashariki mwa Jamhuri ya ...
VIJANA wametakiwa wawe makini na waepuke taarifa potofu kuhusu historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964. Waziri wa zamani katika Serikali ya Tanzania, Dk Harrison ...
DAR ES SALAAM: KATIKA kusherehekea miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ametoa mwito kwa wananchi kuendelea kuuenzi, kuutunza na kuutetea muungano huo ...
Michuano hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1982 ikiwa maalum kwa ajili ya kusherehekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, mwaka huu ilianza kuchezwa Aprili 24 ikishirikisha timu nane na kufikia tamati ...
BAADA ya Singida Black Stars kuenguliwa na JKU kwa penalti 6-5 leo itakuwa ni zamu ya Yanga kuvaana na KVZ katika mechi ya michuno ya Kombe la Muungano 2025, ikikumbushia mechi mbili za Kombe la ...
Merz anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Kansela mnamo Mei 6 katika kikao cha bunge la Ujerumani, Bundestag, takriban miezi miwili baada ya muungano wa CDU/CSU kushinda uchaguzi mkuu wa mwezi Februari ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results