Mw'ijambo yashikirije ibihumbi vy'Abanyarwanda bari bakoraniye mu nyubakwa y'amakoraniro izwi nka BK Arena i Kigali, bavuye ...
Angola ilisema wiki iliyopita kwamba mazungumzo ya moja kwa moja ya amani kati ya Kongo na waasi wa M23 yataanza katika mji mkuu wa Angola Luanda mnamo Machi 18. Rais Felix Tshisekedi, ambaye kwa ...
Mu gihe Tshisekedi na Kagame i Doha bavuze ko impande zose zipfuza agahengwe ako kanya, uyu mushakashatsi avuga ko bigoye ...
Ingawa Kongo haimo katika ajenda ya kikao cha Baraza la Masuala ya Kigeni, vyanzo vya kidiplomasia vimetuthibitishia kuwa vikwazo vipya vya watu binafsi vitawekwa leoJumatatu Machi 17, 2025.
ikimtuhumu kuhusika katika vita kati ya kundi la waasi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mbali na Jenerali Kabarebe, Marekani pia imewawekea vikwazo msemaji wa kundi la M23 ...
Kundi la waasi wa M23 linaendelea kusonga mbele katika maeneo muhimu ya kimkakati mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kuteka miji mikubwa ya Goma na Bukavu. Kutokana na ...