SHINYANGA: KATIBU Wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi ...
KIGOMA; MKUU wa Mkoa Kigoma, Balozi Simon Sirro ameongoza viongozi wa serikali na mamia ya wananchi wa Mkoa Kigoma kuaga ...
TANGA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuharakisha utatuzi wa changamoto za miundombinu wezeshi ...
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ameshiriki Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ...
Pwani; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita za umeme zinahakikiwa kikamilifu kabla ya kufungwa kwa ajili ya matumizi, kwa k ...
DAR ES SALAAM: SHEIKH Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Shia nchini, Hemed Jalala, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote kuimarisha umoja ili kusimamia haki za watu, akisisitiza kuwa mshikamano ni muhimu ...
DAR ES SALAAM: WANDAAJI wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager wametoa taarifa kuhusu kufungwa kwa barabara zitakazotumika siku ya mbio hizo ambazo zimebaki wiki moja kabla ya kufanyika. Taarifa iliyoto ...
TANGA: MKUU wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, Salum Nyamwese, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kudumisha mshikamano na utamaduni wa kusaidiana, huku akiongoza harambee maalum ya kuchangia makundi y ...
MOROGORO: Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuongeza juhudi katika kulinda haki za watoto pamoja na kuimarika kwa usajili wa ...
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa ...
DAR ES SALAAM; Ucheshi! Mdau ametuandikia ujumbe akielezea kisa kilichomtokea na wenzake maeneo ya Sinza, Dar es Salaam ...
KIGOMA; WATUMISHI sita wa Idara ya Afya halmashauri ya Wilaya Kigoma mkoani Kigoma wamekufa, baada ya boti waliyokuwa ...