SERIKALI imeitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petrol (PURA) kuwaandaa Watanzania katika kushiriki mradi wa kuchakata ...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, amewaonya wakandarasi kujenga miradi chini ya kiwango. Ametoa onyo hilo leo, Februari 22, 2026, wakati akizungumza na ...
MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro inaendelea kukamilisha ujenzi wa miradi mipya ya maendeleo ikiwemo Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilosa. Shule hiyo inajengwa kwa mapato ya ...
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO), Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme ...
Kenya na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao katika miradi ya maendeleo na miundombinu ya maji, ikiwemo ujenzi wa ...
Rais wa Marekani Donald Trump amefichua "seti ya kwanza" ya uwekezaji na mikopo ya Japani kwa miradi mitatu, chini ya ahadi ya ya Japani ya dola bilioni 550 kwa Marekani.
Mgogoro unaoendelea kuhusu muswada wa bajeti kati ya Donald Trump na Elon Musk umeongeza sintofahamu kuhusu hatima ya bajeti ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA). NASA tayari inakabiliwa na ...
Mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania yalifanya makubaliano kusoma bajeti zao kwa pamoja mwakani. Nchini Kenya Waziri wa Fedha Henry Rotich aliwasilisha makadirio ya ...
Serikali ya Japani imetangaza kwamba itatoa michango ya ziada ya kifedha ili kusaidia miradi ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO nchini Ukraine, Palestina na kwingine ...
Utawala wa Trump umetangaza rasmi kukomesha zaidi ya 80% ya miradi inayosimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio alitangaza Jumatatu.
Shirika la misaada la Ujerumani GIZ limeadhimisha miaka 25 ya ushirikiano na Jumuiya ya Afrika Mashariki, likisema limefanikiwa kuelimisha wafanyakazi wa umma takriban laki tano na raia zaidi ya ...